JamiiForums Usiku wa manane
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, ale-luya
amefufuka alivyosema.×2
siku hii ya Bwana, tukufu tuifurahie na tuishangilie
Kristu amefufuka ni kweli ni kweli aleluya aleluya
amefufuka kama alivyosema.
hiyo hapo....me napenda lile base na vile wanavyopishana KE&ME
Wameimba kwaya gani hii
 
Back
Top Bottom