Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Ujakutana na zombie hukoMimi nimetoka town sasahivi na nimepitia njia ya makaburini ambako pia Kuna miti mikubwa ya miembe bila kuogopa acheni umamamama wa kulala mapema.
Na njia niliyopita nimekanyaga KABURI ambalo mtu amezikwa jioni hii bila wasiwasi


Hamna kitu makaburini kunakuwaga kimya ila wakati napita nilihisi Kuna mtu maana alikuwa anaziba mwanga wasimu kwa mkono nisimuone ila hakunisumbua ila kulikuwa na mtu na alijisahau mwanga wa simu kuuzima thou alikuwa mbali Kama KABURI la tano toka nilipopita ambapo Kuna kakichaka.Ujakutana na zombie huko
Aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, ale-luyaEmbu weka lyrics zake chache
And fyddell is preferring to stay with you here. Uko powa mrembo?Depal was here....
Hahaha umenifanya nicheke sana mkuu. Saa saba unapita maeneo hayo kugundua nini hasa?!Mi nishazoea kupita makaburini Kuna siku nilitumbukia kwenye KABURI lililotitia Sana usiku wa Giza saa Saba na niliteleza tope la mvua mpaka kaburini nahisi nililikanyaga jeneza kabisa na Wala sikuona ishu .
Ushawahi kulala na mtu kitanda kimoja halafu ukajua kafariki ila ukamfunika vzr ukalala nae ili pakuchwe? Sasa Mimi ishantokea.And fyddell is preferring to stay with you here. Uko powa mrembo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halikupasuka na mguu kuzama tumboni?Ushawahi kuona maiti imefukuliwa usiku wezi wameiba suti halafu ukaikanyaga ile maiti bila kujua? Unakanyaga tumbo ndio unashtuka kumbe nimekanyaga mtu halafu unaendeleaje na safari zako ? Sasa Mimi ishanikuta.


Ililia pfuuu nadhani niliipasua ile maiti mbavu
Haukuondoka na harufu kweli?!Ililia pfuuu nadhani niliipasua ile maiti mbavu