Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Nakutafuta sana mama D00:40hrs
Hilo usijali, nalifanyia kazi.Nipo Zurri uje umekamilika 😷🤧🚰🛂💯✔😷kwa tahadhari
TupunguzeMaambukizi❌🤝👥🗣🙋♀️❌
SawasawaHilo usijali, nalifanyia kazi.
Sawasawa
Leo lindo letu😁😁😁😁Humu naona tuko mimi na wewe sio ?
Walinzi wengine wamekimbia kazi sio ?
Kweli aisee, inabidi tusilaze damu ili tuwe mfano wa kuigwa, yaani japokuwa kwa uchache wetu, tuhakikishe tunafanya kazi vizuri.Leo lindo letu😁😁😁😁
Usalama 💯%✔Kweli aisee, inabidi tusilaze damu ili tuwe mfano wa kuigwa, yaani japokuwa kwa uchache wetu, tuhakikishe tunafanya kazi vizuri.
Tupige kazi.
Tusiwaangushe waungwana ambao hawapo leo.Usalama 💯%✔
Tusiwaangushe waungwana ambao hawapo leo.