Bado lisaa limoja niende jogging as usual
Nani atakayesita kufanya mazoezi na mlimbwende kama wewe.? 😉 Nipe location nikupitie mamiiTwende wote![]()
Mkuu unahatarisha lindo kwa kufata kivuli subiri mpaka upokelewe na askari wa zamuNani atakayesita kufanya mazoezi na mlimbwende kama wewe.?Nipe location nikupitie mamii
Detail yangu inaisha mda tajwa hiyo saa 0500 na mpokea zamu nishamuamsha so hakuna kitakachoharibika mkuu.Mkuu unahatarisha lindo kwa kufata kivuli subiri mpaka upokelewe na askari wa zamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoka tu niambie utanikuta mbeleNani atakayesita kufanya mazoezi na mlimbwende kama wewe.?Nipe location nikupitie mamii

Haya mamii, you're noted. Ila usinisumbue tu njiani oh mara nimechoka tupumzike kidogo, mara oh safari ya leo ndefu zaidi😂😂Ukitoka tu niambie utanikuta mbele![]()
Mi kuna mbu ananisumbua nadhani ametumwa. DahMkuu kwema una madeni au tatizo is kiafya? Hiyo ni dalili ya insomnia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mida ya nini??
Ukatuwakilishe vyema huko kwa Queen of Sheba tunakutegemea. Formula ni ile ile ukifika vuta pumzi, tulia kwanz, usiwe na papara. Usifike tu na kuanza kusifia, utakua hujatutendea hakiHaya mkuu nakuachia lindo wewe na Elli Mshana
Situation report hiyo hapo kila kitu shwari.
Niamini Mkuu, Mabaria tunaojielewa hatujawahi shindwa😊😊Ukatuwakilishe vyema huko kwa Queen of Sheba tunakutegemea. Formula ni ile ile ukifika vuta pumzi, tulia kwanz, usiwe na papara. Usifike tu na kuanza kusifia, utakua hujatutendea haki
Report ya kazi naitaka baadae lindo likifunguliwaNiamini Mkuu, Mabaria tunaojielewa hatujawahi shindwa😊😊