Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Kisha tufunge koki kwa kiwiko sio kuishika tena.
Kisha tufunge koki kwa kiwiko sio kuishika tena.
Ati05:03
Ndo unalala au
Kagua silaha Kabisa ila Mbeya kuna baridiNinajiandaa kufunga lindo
Kagua silaha Kabisa ila Mbeya kuna baridi
Ipo ile ya kukutia majaribuni...Dooooo kama huku Dar naisoma no kwa baridi huko nitatetemeka na kuganda aiseee.
Vipi mvua huko ipo?
Rekebisha jina kidogo hapo ni "if I could turn back the hand off time"



Nitakua lindo la jirani. Naomba mama D anishikie zamu. All is well.