Umeniwahi kuuliza mkuu maana si hashtags hizo😂😂Hivi mkuu mahondaw unamgegeda?
Lakini avatar yako inanifanya nikuwazie kuwa wewe ni ke! 🤔
Tupo pamoja mkuu
Mkuu kwema una madeni au tatizo is kiafya? Hiyo ni dalili ya insomniaToka 1.14 a.m niko macho mpaka saivi 3.37 a.m kuna tatizo la kiufundi mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hatujakuona lindoni hapa kuanzia huo muda mkuu?Toka 1.14 a.m niko macho mpaka saivi 3.37 a.m kuna tatizo la kiufundi mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Analeta mapuuza na kazi.Mbona hatujakuona lindoni hapa kuanzia huo muda mkuu?
Ulinzi huwaga hauahirishwi hata siku moja. Adui akishakusoma tu umeumia. Hapa ni mwendo wa details za Ulinzi tu, we detail/zamu yako ikiisha, mwengine atakuwepo kulisongesha mbele lindo.
Huyo anastahili adhabu kali sana kwa kudoji lindo