JamiiForums Usiku wa manane
We ni mchungaji na unakula kondoo? Muamini mskitini unakula kitimoto?
Kumbe na wewe upo?

Unapenda umbea kuliko kula, nikifanikiwa tu unafura mungu anakuona
 
Aaamefufuka bwana wetu Yesu kristo uuukombozi umefika kwetu halleluya ameshinda mauti tukamwimbie tuimbe halleluya tumshangilie (amefufuka aametoka kaburini yu mzima bwana wetu aliyetoa uzima wake kwa ajili yetu)

Mtazameni Simba wa milele aaamefufuka haleluya aaameshinda mauti tukamwimbie
Vigelegele tafadhali
 
Me naipenda ile halleluya kuu
 
Haha hapo sasa unadanganya... Kwenye ile nyimbo hizo mhhhhh hazipo.
Uzima tumerudishiwa (wanaume halleluya halleluya aaaleluyaaa) aaamefufuka Kristo mtawala mleta tumaiini kwa watu wote (wanaume halleluya halleluya) hahaha unaweza ukawa mwendawazimu 😂
 
Back
Top Bottom