Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,059
Nipe Playlist yako kali.
Nipe Playlist yako kali.
[emoji23] NdioLeo Wednesday sio?
Punguza mwili huo utakosa mchumba ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanisema?
AiseeAlikuwa analala huyo
Za kikatolikiHivi kuna mtu humu amewahi kuimba nyimbo za Kikatoliki au Kisabato aone lile vibe na raha yake? 😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah mzee umeamua kupiga na lyrics kabisa [emoji91]Kama kupenda maradhi Niko hoooiii taaabaniii!!
Na kama kutangaza nakupenda koosa nifungwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bisha 😂😂😂🏃Ai
Aisee
Haha ikinyesha nitakuja kukwambia...yan huku ndio kwanza tumeanza[emoji23] Ndio
Si mnapenda wenye nyama nyie jamaniPunguza mwili huo utakosa mchumba ujue [emoji23][emoji23]
Tafuta shamba mapema sasa.Haha ikinyesha nitakuja kukwambia...yan huku ndio kwanza tumeanza
Tunapenda lakini uzito ukizidi utavunja chaga sasa.Si mnapenda wenye nyama nyie jamani
😀😀Bisha 😂😂😂🏃
Itabidi asee, hizi mvua kilimo cha watoto ndio msimu wakeTafuta shamba mapema sasa.
Kwann unaita kilimo cha watoto?Itabidi asee, hizi mvua kilimo cha watoto ndio msimu wake
Nna uzito mwepesi tuTunapenda lakini uzito ukizidi utavunja chaga sasa.
One love,Nipe Playlist yako kali.
Kila mkulima anapendelea zao fulani, langu ni iloKwann unaitwa kilimo cha watoto?
Nina playlist yao hapa ni balaa najikuta kwaya masta automaticallyZa kikatoliki
Ukute wanakwaya wanaijua kazi yao na wewe nyimbo unaijua....utatamani isiishe