God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,531
Kilo ngapi? Huo uzito mwepesi!Nna uzito mwepesi tu
SafiNina playlist yao hapa ni balaa najikuta kwaya masta automatically
Last time zilikuwa 86 😎Kilo ngapi? Huo uzito mwepesi!
Wakunyumba jaribu ata siku moja moja utupie ka Wayne ulale,unakeshaga Kama bundi hukumbuki kitandaAi
Aisee
Acha kabisa.. Kuna wale wa makuburi kwaya ya mt.kizito hatari babaake..nikisikizaga nyimbo zao dah najikuta kama mmoja wao vileHivi kuna mtu humu amewahi kuimba nyimbo za Kikatoliki au Kisabato aone lile vibe na raha yake? 😍
Nita download mm ninazo chache sana hata 5 hazifiki nitaongeza na hizoOne love,
Is this love,
No woman no cry,
Nothing but prayer,
Irene,
Jamaica-Mr brown,
Soul rebel,
Coocody rock,
House of exile,
Slave, nk
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂. Wanyumbani mbona huwa nalala Sana tu leo tu mafua yamenioteaWakunyumba jaribu ata siku moja moja utupie ka Wayne ulale,unakeshaga Kama bundi hukumbuki kitanda
Unaimba sauti ya ngapi?Safi
Me najikutaga ndio nishakuwa mwanakwaya
AahLast time zilikuwa 86![]()
hizi sio za kawaida
alafu unaita eti uzito mwepesi 
nikitaja zangu hapa ninoma kweli 
Bdo zipo nyingi mkuu sema kuandika zote hapa changamotoNita download mm ninazo chache sana hata 5 hazifiki nitaongeza na hizo
Usiku mwema gal.1:49 narudi kulala naona mvua inaishia chini tu
1&2Unaimba sauti ya ngapi?
Ngoja nianze nazo hizi tu 10 ni nyingi kwa kuanzia.
Na we zima data ulale au ndio mpaka simu iishe chajiUsiku mwema gal.
Nimebahatika kuwaona mara moja walikuwa wakiimba Christmas carols ni balaa zitoAcha kabisa.. Kuna wale wa makuburi kwaya ya mt.kizito hatari babaake
Nipo na 38% mpaka iishe tu ndio nitalala kalale mm nakulinda.Na we zima data ulale au ndio mpaka simu iishe chaji
Mungu anakuona 😂1&2
Base siwezi kabisa. .napenda lile base la kwenye ile nyimbo ya Hallelujah- amefufuka kama alivyosema (mkesha wa Pasaka