JamiiForums Usiku wa manane

Attachments

  • FB_IMG_1586788823631.jpg
    FB_IMG_1586788823631.jpg
    33.6 KB · Views: 3
  • db798d64e92434fc8d793a56f2591bf9.jpg
    db798d64e92434fc8d793a56f2591bf9.jpg
    29.1 KB · Views: 3
Hahaaa usihofu sana inawezekana kabisa tunaelekea kuweka historia ya viumbe wabishi zaidi waliowahi kuishi duniani

HiiKituCoronaHaieleweki
Corona ndo imenivuruga kabisa kiakili na Kimwili
Riziki kiduchu niliyokuwa naipata kunifanya nisiwe omba omba imekwenda
Nishajaribu nikaanguka, nishathubutu nikapoteza, Bahasha nimezungusha sana
Sijafanikiwa, nimefika point ambayo sasa, tumaini limepotea kabisa kabisa
Na usingizi umekuwa shida
 
Back
Top Bottom