Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Nahisi uliienjoy uji wako
Hahahaha alikuja umeamuni alikuwepo?!Ngoja nimtag Super Villain maana hakawii kuwa kwenye league za maneno..mzee wa fwact
Rada za lindo zinaonesha yalikuwa maziwaNahisi uliienjoy uji wako
Ya mbuzi au ngamia
Kwann usipike uleSiku hizi ukifika tu muda huu , usingizi unapotea na tumbo la njaa linaanza
Oky
Hahahaha ,kunywa majiMuda wa kupambana na hangover sasa.
Hahah daah ni hatariiii mzee baba,kuna camino hapa jana ilibaki kidogo naimalizia nikatafute supu aiseeHahahaha ,kunywa maji
Hahahaha, Fanya hivyo MkuuHahah daah ni hatariiii mzee baba,kuna camino hapa jana ilibaki kidogo naimalizia nikatafute supu aisee
Hahahaha, Fanya hivyo Mkuu