Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
0542
Pamoja MkuuHahah nashukuru mkuu.
Happy easter Monday kwako&wana JF wote.
Duh, haya karibu
😀 😀 😀Duh, haya karibu
Karibu sana!😀 😀 😀
Tunaingia ki ninja, ila mimi sio mkaaji sana. Napita tu wakuu.
Shukran, nawatakia lindo jema bwana.Karibu sana!
All the best huko, katuwakilishe vyema sie Singles and Senior bachelors tunalinda hapaShukran, nawatakia lindo jema bwana.
Kama pozi ndio hilo wala huna hata dakika kumi utapiga pindu
Karibu sana Kamanda!/ umebeba kahawa na kashata?


Labda kesho SAA hizi niko na akili nyingine kabisa
Inakutia majaribuni? IshindweeeeeeMvua hii asee....