JamiiForums Usiku wa manane
Tatizo unachimba sana.. back then tulikuwa tunatoka mbali to dsm so tulikuwa tunalala moro kwa bus.. asa mnajikuta mpo wengi mnaona kuliko kulala ni kheri mzunguke so ndo kuona mengi
Hiyo ni kweli mkuu maana hata sisi tulishakuwaga crew kipindi cha nyuma .

Kusaka guest kila mtu anajidai mchumi tukaweka maamuzi ya kuzunguka kamji mpaka kakuche.

Ndio tukaamua kwenda kupoa kwa hayo maeneo tukijisandia totoz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ila ukiwa na roho ndogo sio poa..
kwanza tu walipotuona people kama sita tumechukua meza na kuagiza menyu af mishale ya saa sita to saba hivi, hiyo mitego af majimamaaaa
hukunasa kweli ww 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom