Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
poa uko gud ww? Happy Easter na kwako pia natumaini ulienjoy leo?Mambo mkuu,Happy Easter
poa uko gud ww? Happy Easter na kwako pia natumaini ulienjoy leo?Mambo mkuu,Happy Easter
we mwananchi ni mchokozi sana ☺
maisha magumu ndio maana watu wapo pale ukitaka wa chuo ingia samaki.Ila ile mitaa yote sio mkuu.. hata wakifukuza chimbo ni nyingi
niko poa pia,thank you nimeenjoy kwakwelipoa uko gud ww? Happy Easter na kwako pia natumaini ulienjoy leo?
vizuri kama ilikuwa gud kwako na ulifurahia maana siku zetu zinahesabika kilichobaki nikufurahia kila single moment tunayoifanya kuanzia sasa.niko poa pia,thank you nimeenjoy kwakweli
niko poa pia,thank you nimeenjoy kwakweli
Wa chuo wapo all over.. weekend utawakuta wamejianika swimming placesmaisha magumu ndio maana watu wapo pale ukitaka wa chuo ingia samaki.
maisha magumu ndio maana watu wapo pale ukitaka wa chuo ingia samaki.
Huwq una ushauri muruavizuri kama ilikuwa gud kwako na ulifurahia maana siku zetu zinahesabika kilichobaki nikufurahia kila single moment tunayoifanya kuanzia sasa.


Wa chuo wapo all over.. weekend utawakuta wamejianika swimming places
😆 😆 😆 wamejianika kama mamba vile wakitoka mtoni.Wa chuo wapo all over.. weekend utawakuta wamejianika swimming places
Hahaa, ila Sikukuu bado inaendelea,so sijachelewa sana kutoa mwaliko karibu sana Easter Monday mkuu.Hata mwaliko aseee
kabisa mambo hayaeleweki saizNyakati ngumu sana hizi...ukifanya mchezo corona inakunyoosha
kabisa mambo hayaeleweki saiz
Kweli mkuu japo wabongo bado hatujashtuka naonaNyakati ngumu sana hizi...ukifanya mchezo corona inakunyoosha
Amen ni kweli kabisa and i hope umeenjoy pia eeh?vizuri kama ilikuwa gud kwako na ulifurahia maana siku zetu zinahesabika kilichobaki nikufurahia kila single moment tunayoifanya kuanzia sasa.
Hahaa, ila Sikukuu bado inaendelea,so sijachelewa sana kutoa mwaliko karibu sana Easter Monday mkuu.
uwoga lazima uwepo maana makachero siunawaona huo nje wanakufa tu kila siku.Shida hii corona imeleta uoga sana
Ww tu kama upo comfortable kuonesha tumbo na vinyweleo vyako![]()
![]()
wamejianika kama mamba vile wakitoka mtoni.
uwoga lazima uwepo maana makachero siunawaona huo nje wanakufa tu kila siku.