simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Achana nae huyo jombaa maana anapenda sana menyu.. mikono na ulimi vipo kwenye line moja ya mfumo wa fahamu

Achana nae huyo jombaa maana anapenda sana menyu.. mikono na ulimi vipo kwenye line moja ya mfumo wa fahamu

we mzee ww dah ☺Hapo kweli plus mazingira yapo fresh..milima milima na waluguru kama Super Villain .. life lazma liwe zuri
ndio maana mm maji sinawi unanawa alafukula hakuna mm nanawa kwenye chakula tu.Achana nae huyo jombaa maana anapenda sana menyu.. mikono na ulimi vipo kwenye line moja ya mfumo wa fahamu![]()
Si una sanitizer na barakoandio maana mm maji sinawi unanawa alafukula hakuna mm nanawa kwenye chakula tu.
atakuja tunajua wapi alpokimbiliaGoddess Miungu huwa hailali.. amka mdada![]()
barakoa ninazo lakini muda wa kuvaa bado saiz acha tunawe sanitizer kwanza.Si una sanitizer na barakoa
Vaa tu ....em zama chimbo one timebarakoa ninazo lakini muda wa kuvaa bado saiz acha tunawe sanitizer kwanza.
Naomba msaada wa namna ya kupata app ya VidmateSupa vilain ukuweka wimbo jaribu kuweka link kabisa
hahaha kweli kabisaHapo kweli plus mazingira yapo fresh..milima milima na waluguru kama Super Villain .. life lazma liwe zuri
Happy Easter kaka.Hua siruki playlist zako kiongozi..
Usimsikilize huyo.hahaha kweli kabisa
Hii corona imeharibu mipango ya wengi.nataka kuwasikia wale watu waliokuwa wakisema mwaka huu nitafanya maajabu haya watoke niwaone wakifanikisha.
Asante! Maisha yalinitoa kwenye ramani hiiKaribu lindoni mkuu. Ulipotea