MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,358
Late Night Feeling
Hivi leo hapa lindoni mbona sioni maji tiririka wala sanitizer?Wadau kwema? Lindoni tayari
TusisahauKuchukuaTahadhari![]()
Uji uko wapi?Mbona kikombe chako kikubwa hivyo, unataka utumalizie uji walinzi wenzio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama D is here D
kwema tu hapa, uko poa ww?Wadau kwema? Lindoni tayari
TusisahauKuchukuaTahadhari😷😷😷😷😷😷
habari za kunawishana alafumsosi hakuna ndio nn sasa!
Oooh kumbe, hiyo safi ngoja nikanawe ndo nianze lindo rasmiYapo ya kutosha rudi nyuma hadi mpango mkuu wa kuingia ndani utayakuta. Maji tiririka, sabuni, na sanitizer
habari za kunawishana alafumsosi hakuna ndio nn sasa!


Huu mwaka hatutakaa tuusahauHapo kweli plus mazingira yapo fresh..milima milima na waluguru kama Super Villain .. life lazma liwe zuriHahaha ndio
Sijawahi kuishi tofauti na dar ilikuwa mara ya kwanza
Nishatembea lakini sio kukaa mkoa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Karivu sana mama D..pole kwa kipoteaMama D is here D
Pole sana.
nataka kuwasikia wale watu waliokuwa wakisema mwaka huu nitafanya maajabu haya watoke niwaone wakifanikisha.