Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,829
- 40,363
Muda wa mggdIjumaa Kuu njema wanalindo
Muda wa mggdIjumaa Kuu njema wanalindo
Nimeshaanza kubarikiwa na mvua joto hakuna inamaana nitacha usingizi soon.01:58 narudi. Mniamshe nisije kulala huko huko.
Muda wa mggd
Shukrani
So you want us to be like you. What the reason for telling us?
Nimekuwa addicted na huu mdudo wa movie ya Avengement ya Scott Adkins muda mrefu sana
Muwe na usiku mwema wananchi.
Mzee baba Wuhan mnaendeleaje huko?So you want us to be like you. What the reason for telling us?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Scott hua anabonda kinoma sijui ni kwanini sio A-Rated star.
Nimekuwa addicted na huu mdudo wa movie ya Avengement ya Scott Adkins muda mrefu sana
Muwe na usiku mwema wananchi.
Chukua kipande cha soap na ufuate maelekezo ya namna ya kutafuta usingizi mkuu.Yaani leo ndo kabisa. Hauji hasaaaaa
Aisee, hizi ndo akili zenu?Chukua kipande cha soap na ufuate maelekezo ya namna ya kutafuta usingizi mkuu.
Am the most complete fighter in the worldSo you want us to be like you. What the reason for telling us?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Please fuata ushauri wa wataalam. HautajutaAisee, hizi ndo akili zenu?
Ndio,mbona umepaniki mapema kwani kuna maelekezo yoyote umeshapata tayari?Aisee, hizi ndo akili zenu?
Mkuu huku hali ni tete. Kibao kimegeuka kwamba sisi ndio waleta Corona. Noma sana.Hahah mwenyekiti yuko chali mapemaa,naona wanaigeria wametumiwa ndege kuchukuliwa huko sababu ya ubaguzi?Hali ikoje mzee.
Hahah kwa uzoefu wangu mjomba nae atakua ni member konki maana amejua anachotaka kuambiwa kabla.Please fuata ushauri wa wataalam. Hitojuta
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk