JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahah kwa uzoefu wangu mjomba nae atakua ni member konki maana amejua anachotaka kuambiwa kabla.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzoefu kabisa huyu ame pre'-empty hitaji husika. Ila nenda nae polepole atakuelewa. Si unajua mara ya kwanza lazima ukaze.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom