JamiiForums Usiku wa manane
Mambo ya wafilistine huko mara unapigwa kwakina Daudi huku mara unapigwa wafalme, hesabu ujakaa sawa unakutana na wakina mtume Barnaba na Paulo acha tu.
Ni ngumu ila nashukuru kwa kufaulu ule mtihani.. Kiuhalisia sikupaswa kupata kutokana na muda ila ndio hvo nikapata.
Kutangulia sio kufika..with tremendous ambition nothing impossible
 
Back
Top Bottom