Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,959
Wanagegeda Uzi??Msisahau nimeanzisha Uzi wa kugegedana kwa bilioni moja mmu
Wanagegeda Uzi??Msisahau nimeanzisha Uzi wa kugegedana kwa bilioni moja mmu
Acha kusoma mwanzo kabisa ukiweza maliza yote 72 mpaka ufunuo huko itapendeza sana.
Jambo la kugegedewaWanagegeda Uzi??
usisahau kutoka na tochiWakuu naenda dukani nikanunue hata Katanga mbichi tu nitafune ninywe na maji niendelee na lindo. Narudi
Msisahau nimeanzisha Uzi wa kugegedana kwa bilioni moja mmu

B 1 unauwezo wa kuishi miaka 28 kwa budget ya kuspend 100k kila siku mzee alfu ndio nimpe mtu kwa siku 1 
Njoo upanga kabla hujafika ubalozi wa Burundi kama unatokea Maliki street mkono wa kushoto gonga geti ulizia supa bag au lerionka utanipata mkuu.Mkuu binafsi mm natamani siku moja nikuone
Na kuoa Masuria wetu tu yaani saa hizi mtu unakua na Masuria kama mia na "mazahausi" hana Nouma



We mzeeEeh Bibilia hiyo vitabu 72 ukimaliza shughuli imeishia kabisa hapo utakuwa umebakiza vya Islam tu.Unasemea Biblia?
Hapo umeniacha....mniombee kwa kweli
Yeah na hii mvua na baridi acha kabisausisahau kutoka na tochi
Nafanana Sana na ****** mkuuNitumie picha yako pm. Huko upange penyewe sijawahi fika
Eeh Bibilia hiyo vitabu 72 ukimaliza shughuli imeishia kabisa hapo utakuwa umebakiza vya Islam tu.
Kumbe jina la supu pika liko coded ukiliandika kimadaha sikujua duuuuNafanana Sana na ****** mkuu
Haya kila la kheri kwenye mafunzo huko.Nitajitahidi
Na kwako pia malikia.Ijumaa Kuu njema wanalindo