JamiiForums Usiku wa manane
Hahah hapo hapo what do you think Africa nako itafikia level za italy/us kwa vifo au kwa waafrica imeshadunda.
Hatuwezi bro. Mie mwenyewe nikipimwa leo sikosi Corona. Mafua kwangu kama vile chipsi yai. Situmii hata dawa yanapotea yenyewe. Wenzetu weupe huwa wanalazwa kwa mafua ujue.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Sina hakika kama bado yupo. Hahahaaa

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ile mambo inachosha sana mwili,ametoka kwny zoezi hilo halafu akaingia kucheki movie hapo usingizi ni chap chap tu.

Kuna uzi mmoja wa kijinga sana niliusoma humu,ngoja nikiupata ntaku tagg wewe na VC.
 
Hahah mkuu akiamka atazikuta tu na sana sana ataishia kutikisa kichwa tu akisema igweeeeeeeeeeeee hahah.
Na anavyokipenda cheo chake. Pitia nyuzi zote za chaputa uone kama utamkosa. Na amekuwa main player mzuri kuhakikisha hakuna member anachepuka. He is brilliant.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Hatuwezi bro. Mie mwenyewe nikipimwa leo sikosi Corona. Mafua kwangu kama vile chipsi yai. Situmii hata dawa yanapotea yenyewe. Wenzetu weupe huwa wanalazwa kwa mafua ujue.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Daah kweli si mchezo mkuu,mwezi wa 1 nilipata mafua ya hatari sana,full kukohoa nikameza dawa za maji,mara amoxilin kitu bila bila baadae ikawa fresh,uzuri hapo mambo ya Corona yalikua hayajapamba moto sana la sivyo ingekua ni full mawazo.
 
Kama mimi mkuu. Ila kuna mtu alinishauri nigonge nyagi. Sijawahi kutumia ila kwa kuwa niliambiwa ni tiba nilipiga huku nikikumbuka ule msemo wa "chungu lakini dawa".

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom