Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Hukupewa maswali konki ww acha kabisa kuhusu Bible mzee.Mm sikupata hiyo bahati kusoma Shule. Mafundisho ya ukatukumeni yanachukua muda wa miaka 2 ili mtu kua tayari kufanya mtihani na kupewa komonio.
Mimi nilifuata wiki 2 ambapo nilihudhuria siku 5 tu kutokana na shule. Luckily nikapasua kushinda waliofuata 2yrs
