Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,377
Aaaaaaaaamen! Ubarikiwe wewe na uzao wako wote
Aaaaaaaaamen! Ubarikiwe wewe na uzao wako wote
DadeeekiEeh mzee wangu ndio siku ya Yuda imeanza hivyo.
Kwa hakika sisi wote ni dhambi na tumepungukiwa utukufu wa MunguJe unadhani inampasa Yuda kua condemned to hell or in heaven
Weekend ya kusalitiana hii 😁Dadeeeki
It's true japo mm mkatoliki ila naona kanisa langu limefanya watu wakawa na mtazamo mbaya juu ya Yuda. Ahukumiwe kwa kujiua ila sio kumsaliti Yesu!Kwa hakika sisi wote ni dhambi na tumepungukiwa utukufu wa Mungu
Tusihukumu kuwa Judah ataenda moyoni au mbinguni
God is the supreme judge ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamuunga mkono muasisi waoWeekend ya kusalitiana hii 😁
Ooh ni kweli kabisaIt's true japo mm mkatoliki ila naona kanisa langu limefanya watu wakawa na mtazamo mbaya juu ya Yuda. Ahukumiwe kwa kujiua ila sio kumsaliti Yesu!
Don't mess with ya health. Koroga uji au toka nje kama yawezekana ule. Ikishindikana kabisa LalaNimekumbuka Niko na apple moja. Ngoja nilitafune
[emoji16] wekaga vinywaji kwenye fridge na misosi kama mkate maziwa, Juice nk.. mm huwa nafanya hivyo.Nimekumbuka Niko na apple moja. Ngoja nilitafune
Not bounded..it was a fate.
Aagh wapi!! Kutambazuka Mpwa, no way. Kuna mshenzi nasikia harufu ya kitimoto ndio njaa inazidi. PumbavuDon't mess with ya health. Koroga uji au toka nje kama yawezekana ule. Ikishindikana kabisa Lala
Humu Lodge? Niko Mbeya huku ugenini[emoji16] wekaga vinywaji kwenye fridge na misosi kama mkate maziwa, Juice nk.. mm huwa nafanya hivyo.
Sure thingNot bounded..it was a fate.
He lived and fulfilled his Purpose..Ikumbukwe kusudi hutoka kwa Mungu!
Jogoo hafi kwa utitiri..Hope umepambana na mengi magumu katika unri huo. Komaa tuAagh wapi!! Kutambazuka Mpwa, no way. Kuna mshenzi nasikia harufu ya kitimoto ndio njaa inazidi. Pumbavu
[emoji16][emoji16][emoji16] Ijumaa Kuu hakuna kula nyama mzeeAagh wapi!! Kutambazuka Mpwa, no way. Kuna mshenzi nasikia harufu ya kitimoto ndio njaa inazidi. Pumbavu
Najaribu jaribu mkuu..
Basi leo utaeleza na hilo baridi sio mchezoHumu Lodge? Niko Mbeya huku ugenini