Tuko pamoja, ila sidhani kama nitashindwa.Mkuu zurri hiyo tena ya kuamsha warembo na mimi nipatie ukiishindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikishindwa nakupa mmoja kaka.
Tuko pamoja, ila sidhani kama nitashindwa.Mkuu zurri hiyo tena ya kuamsha warembo na mimi nipatie ukiishindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina nomaa bossssss.Tuko pamoja, ila sidhani kama nitashindwa.
Nikishindwa nakupa mmoja kaka.
Pole sanaNaumwa njaa balaa. Nimekumbuka mke wangu. Watu wa mbeya hawana huruma
Ndio Ijumaa Kuu kwa kiswahili??Good Friday
Hahahahaa asante sana
Huu ndio usiku muhimu sana katika maisha ya mwanadamu..Roho mtakatifu anamuongoza Yuda kutimiza Ukombozi wa mwanadamuHuu ndio ule usiku wa Wasaliti wote akina Yuda wote huu ndio muda wenu wa kumkumbuka muasisi wenu. Usiku huu ndio Yuda Iskariote na Petro wakimkana Kristo, dadeeki unafiki kiwango cha Safina ya Nuhu.
Binadamu wanafiki sana sana ndio maana niliamua kujiamini na kujitegemea alone
Nimepanda kitandani, njaa utadhani niko nanihii.
Amen, ndio maana nimekunywa kidogo tu ili kuwawakilisha wanafiki na wazandiki wote in loving memory ya Msaliti mwenzaoHuu ndio usiku muhimu sana katika maisha ya mwanadamu..Roho mtakatifu anamuongoza Yuda kutimiza Ukombozi wa mwanadamu
Je unadhani inampasa Yuda kua condemned to hell or in heavenAmen, ndio maana nimekunywa kidogo tu ili kuwawakilisha wanafiki na wazandiki wote in loving memory ya Msaliti mwenzao
Hapo ni kusubiri hadi keshoNimepanda kitandani, njaa utadhani niko nanihii.
Njaa za ugenini zina sifa sijapata kuona. I need your prayers. Pombe na njaa dah ni zaidi ya Corona
Sijui aiseee mengine wala siyakuumiza kichwa kabisaJe unadhani inampasa Yuda kua condemned to hell or in heaven
Basi nakuomba usimuite Yuda msaliti wala Mnafki..Sijui aiseee mengine wala siyakuumiza kichwa kabisa
Unless kuna jina lingineBasi nakuomba usimuite Yuda msaliti wala Mnafki..
God will be with you hadi sun-riseNjaa za ugenini zina sifa sijapata kuona. I need your prayers. Pombe na njaa dah ni zaidi ya Corona
Eeh mzee wangu ndio siku ya Yuda imeanza hivyo.Ndio Ijumaa Kuu kwa kiswahili??