JamiiForums Usiku wa manane
Miaka imepita baby ila me sijakuona miaka imekatika ma ila me sijakuona, kile kidonda changu cha mapenzi moyoni bado hakijapona kama warembo mi nawaona wengi.....
 
Chochote watachokwambia usiwasikilize/ nakusihi mami puuzia moyo wangu usiumize/ endapo ukiwasikiliza moyo wangu utaumiza/ endapo ukiwasikiliza utaniacha me kwenye kiza ..
 
Ungameni dhambi zenu eeeee hiiiiiii eee ungameni daiiiima ili mpate kuuponywa
 
Naona wadau waliolala nao either wamepasha au wako kwenye process ya kupata cha asubuhi.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom