Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
I'm out 👨💻
Pole ttcl inaboa siku hiziukatili TTCL wanaonifanyia yaan nimejiunga GB 10 ili niushushe mzigo wote ila hiyo speed yake ni matusi kwa kweli

Kama kawaida yangu, nawapigia keleleee mkiamka tu mi nalala.
Niko mzima kabisa, vipi wewe, u swalama?Uko mwenyewe endelea na kelele zako
Mzima lakini?
😀 😀 😀 😀 😀Mwenzenu nimelogwa
Siku hizi nalala kisa usingizi umetaka..sio mm kutaka. Hivi kweli usingizi unanipangia muda wa kulala mimi!!!??? Wakati sio kawaida yangu😀 😀 😀 😀 😀
Mimi ikitokeaga hili hiyo huwa napretend kama nafanya meditation hasa ya namba baada ya muda napitiwa na usingizi. Tumia cheat codes mzee, Insomnia sio poa.😀😀😀Siku hizi nalala kisa usingizi umetaka..sio mm kutaka. Hivi kweli usingizi unanipangia muda wa kulala mimi!!!??? Wakati sio kawaida yangu
Not yet
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk


Fresh vp mwananchi.Mwambaaa niaje?
Barnes
Hatujambo sisi.Niko mzima kabisa, vipi wewe, u swalama?
Ni hip hop song hii?Before I leave-Jah Cure
Barnes