JamiiForums Usiku wa manane
😂😂😂 Labda yuko nchi ambazo majira yao ni ya usiku kwa muda huo
Hili nalo neno... Hivi kama mtu yupo nchi nyingine nje ya Tanzania na hatufanani masaa, muda unawekwa unakuwa wa nchi gani? Yeye ataona sms ina muda upi? Kama wetu au sisi kama wao aua kila mtu na kwake?
 
Back
Top Bottom