Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
angalia mpaka eps 3 tu utaelewa nikama MB 900 hizo 3 alafu njoo uniambie kama haifanani na lostHalafu unizingue ile ya hovyo dadeki
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
angalia mpaka eps 3 tu utaelewa nikama MB 900 hizo 3 alafu njoo uniambie kama haifanani na lostHalafu unizingue ile ya hovyo dadeki
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Nitakupa mrejeshoangalia mpaka eps 3 tu utaelewa nikama MB 900 hizo 3 alafu njoo uniambie kama haifanani na lost
poaNitakupa mrejesho
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
uko peke yako mzee maana show ya kibabe hii
03:123:05
😂😂😂😂😂😂😂
Ulale03:12
Vitu vichungu
naona kwako ndio kumekucha sasa?Ulale
Kabisaanaona kwako ndio kumekucha sasa?
unafua saa hizi 😳 kwenu kamba ni zakugombania nn?Kabisaa
Hapa nataka nitoke nje nikaanze kufua 😂😂
Nimekwambia kwetu kumekucha 😂😂😂unafua saa hizi 😳 kwenu kamba ni zakugombania nn?