JamiiForums Usiku wa manane
kwanza huwa napenda habari za Ent kwahiyo hii issue niliiyona baada ya yule shoga anaitwa nani ......Jamal Lyon
? vile alipigwa uswahilini na akafunguakesi na waliompiga walimuambia kuwa hawapendi vitendo vyake vya ushoga.
 
siangalii hao mashoga mzee hapana wala hatasikujisumbua kuaangalia trailer zake.
Kumbe hata sikujua nasikia tu watu wakisifia. Nataka movie kama Lost, au Nikita au Prison Break. Sijaonaga series kali kama hizi

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Kumbe hata sikujua nasikia tu watu wakisifia. Nataka movie kama Lost, au Nikita au Prison Break. Sijaonaga series kali kama hizi

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
aina kama ya LOST angalia THE 100 inastory kama hiyo.
 
Back
Top Bottom