Hahaha Ioh mbona unavujisha pepa sasa. Umetaja 2019 umenikumbusha zawadi yangu lohAsante sana, nimebadilisha nywila zangu zote zinasomeka CoronaVirus-2019![]()
Salama. Za kwako Kilaza?
Af umeanza kunitishaSawa sibishi
Nimekuja kununua kahawa, twenzetu wife.Mda wa kulala, huku wafanyaje?
Mbona hamlali?
Mm si nananii tu hakafu nakaushaAf umeanza kunitisha
ShafikaFasta fasta.
Unaogopa sana Corona kuliko hata vita kijanaAah mzee hii kitu ishaanza ninitisha sasa kuanzia saiz naichukulia serious kabisa maana vitu havielezeki.
sasa mm nahusikaje hapo ila we dude ni kavu sana ujueahh wapi usiniuzie case...

Nimekusubiri sana.Shafika
Hahaha Ioh mbona unavujisha pepa sasa. Umetaja 2019 umenikumbusha zawadi yangu loh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo cheo kimoja tu cha kiepe yai ndio nikanihusu ila sasa hivi nacho hakina mantiki sababu ya Corona.Aah kiongozi
Balozi wa epe yai
Balozi wa mkorea
Katibu mwenye tena
Niaje hommie maana unavyeo vingi sana sikuwezi.
Kwako pia sijui kama ulifanikiwa kuona kule