Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Hauwazi kufa unawaza seriesBasi sipotezi bando langu mm siunajua hiki kipindi muda wowote unaweza wekwa karantini kwahiyo iliusiwe board unakuwa na series zako zakutosha tu unasukuma siku.
Hauwazi kufa unawaza seriesBasi sipotezi bando langu mm siunajua hiki kipindi muda wowote unaweza wekwa karantini kwahiyo iliusiwe board unakuwa na series zako zakutosha tu unasukuma siku.
[emoji23][emoji23][emoji23] kausha mm ndio nimezingua.Wakishua kawa keki eti
Bila shaka kabisa.Kwakweli inawezekana pia
Hiyo kitu ipo tu muda wowote usiwaze sana.Hauwazi kufa unawaza series
Anitawazingua wote kwa muda wangu acha nikaushe[emoji23][emoji23][emoji23] kausha mm ndio nimezingua.
Ayt waza series ssHiyo kitu ipo tu muda wowote usiwaze sana.
Uzima si upoBila shaka kabisa.
Tatizo hakunaItabidi tutoke kidogo tukae faragha au kuna tatizo ?
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo umedhamilia kulipa kisasi!Anitawazingua wote kwa muda wangu acha nikaushe
Uzima si upo
Sikujua napigwa jungu khaaaa ww mdada km mmang'atiWakishua kawa keki eti
Nifate.Tatizo hakuna
Niaje mzee.Oi oi oi
Akija mm simo [emoji16][emoji16]Huyo baharia acha naye anadeals nyingi sana usishangae hata katika hiki kipindi cha corona akawa ni balozi pia.
Nzuri, za masiku tele mrembo. Uhali gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] piganeni mm nakuwa refa sasaSikujua napigwa jungu khaaaa ww mdada km mmang'ati
Salama sana. Tupo.Salama. Wewe je?