Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Leo mapema sana mjomba.Gud ni vp hommie.
Hua anatapeli kuanzia ijumaa tu hizi siku zingine anaandaa mikakatiLeo mapema sana mjomba.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Naona corona imepunguza kasi ya ulinzi na walinzi
Hujambo binti4:14
Safi , endeleza lindo ,nipo hapa
Sijambo. ShikamooHujambo binti
Marhabaa, umeamkaje ?Sijambo. Shikamoo
Poa sana, hofu kwako?Marhabaa, umeamkaje ?
Mie salama kabisa, hofu na mashaka kwako Rafiki uliye mbali nami ,na km uko poa ,nakua nafuraha zaidi ktk lindoPoa sana, hofu kwako?
Hamna haja ya kuwa na mashaka me niko salama kabisa.Mie salama kabisa, hofu na mashaka kwako Rafiki uliye mbali nami ,na km uko poa ,nakua nafuraha zaidi ktk lindo