Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,120
Nakuja.Zurri Unakuja?
Salama vipi wewe habari yakoHumu ndani kitambo sana aisee, sijahudhuria lindo.
Wazima lakini ?
Swalama kabisa, naona mlinzi mpya wewe au mwenyeji wa tangu na tangu ?Salama vipi wewe habari yako
Hapana si mwenyeji sana au mlinzi mpyaSwalama kabisa, naona mlinzi mpya wewe au mwenyeji wa tangu na tangu ?
Mimi au wewe ?Hapana si mwenyeji sana au mlinzi mpya
Tuko salama mkuu karibu tena lindoniHumu ndani kitambo sana aisee, sijahudhuria lindo.
Wazima lakini ?
Hapo sawa kaka mkubwa.
Wake zangu walinishughulisha sana wiki hizi.
Shukurani MkuuHapo sawa kaka mkubwa.
Nina kahawa hapa na Gahawa, nauza bei chee tu, waambie na wenzako, hakuna kusinzia.
Navy kenzo - why now![]()
Gud ni vp hommie.Mzee wa kula midundooo ajeee?
Barnes