Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Za kwako Mdada?
Hahaha ahsante, hatimaye na mimi nimeonja ban baada ya miaka saba ya kuwepo Jf
Kumbe mkongwe aisee na wala hujawahi kupata ban muda wote huo unastahili pongeziHahaha ahsante, hatimaye na mimi nimeonja ban baada ya miaka saba ya kuwepo Jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tena nshachafua failiKumbe mkongwe aisee na wala hujawahi kupata ban muda wote huo unastahili pongezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mungu sijambo.
Hakuna shida nmezoea kuchelewa kulala dear