Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Tutaruka majoka na corona hivyo hivyo tu kama utamkubali [emoji23]Haha.
Mjomba katangaza ndoa
Tutaruka majoka na corona hivyo hivyo tu kama utamkubali [emoji23]Haha.
Mjomba katangaza ndoa
ID yako imekaa kama student hivi
[emoji23][emoji23] Kwahiyo hiyo haina msosi au ndio tutanawishana sanitizer tu shughuli ndio itaishia hivyo.[emoji3][emoji3] mie hata sikuchangishi yetu na kizee changu ni ile ya njoo tuishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi izo najiunga JF. Nilikuwa nimemaliza uwanafunzi. Iyo ID ni ya kistudent flani vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwaje bomba, hamna msosi maana mtakuwa mmevaa mask + gloves😆Tutaruka majoka na corona hivyo hivyo tu kama utamkubali [emoji23]
Msosi utoke wapi na wewe huogopi Corona..??!! Alafu si waona hali ya uchumi umeyumba...mambo ni kimya kimya tu[emoji23][emoji23] Kwahiyo hiyo haina msosi au ndio tutanawishana sanitizer tu shughuli ndio itaishia hivyo.
Nimeshindwa nielekeze jinsi ya kubadilisha .Sasa kwanini hujabadilisha
Na kunawa sanitizer tu [emoji23][emoji23]Itakuwaje bomba, hamna msosi maana mtakuwa mmevaa mask + gloves[emoji38]
Mtumie PM Maxence Melo
Aah kwahiyo corana inahusiana vp na mdomo [emoji15] watu tunataka midomo icheze sio kuishia vaa mask tu.Msosi utoke wapi na wewe huogopi Corona..??!! Alafu si waona hali ya uchumi umeyumba...mambo ni kimya kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hutaki ninenepe 😆😆
Hongera kama umepata usingizi.Emu nilale ninenepe [emoji41]
[emoji4] Umeweka nn humo tumboni mbona unalalamika?
Raisi kakataza mkusanyiko wa watu..na baby kasema hakuna chakula.Aah kwahiyo corana inahusiana vp na mdomo [emoji15] watu tunataka midomo icheze sio kuishia vaa mask tu.