😂😂😂😂 mtaniletea ile mikanda wanatangaza instagram
[emoji3][emoji3] subiri nikafanye yangu..will be backNaona unafurahia ss kutokula si roho mbaya hii I'd ya mtu hii [emoji23]
[emoji23][emoji23] Nasingiziwa tu hizi tuhuma ujue naomba mzipotoshe tu sio za kweli kabisa.Haha
Nayaamini maneno yake. Akiamka atakuta tag simiss ndugu yako ashanipa dawa [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya tunasubiri huo mrejesho
Leo hakuna Kurara? 😁
[emoji23][emoji23][emoji23] Data mbona haikuzuii kula ww tu ni kuwa usingizi hauna leo.Nikifanya masihara hapa nitakuwa silali [emoji3][emoji3]
Mzime data mlale, usingizi kwa afya bora
Hakikisha hiyo siku huli Sana maana usije Anza omba msaada wa kutolewa huo mkanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniletea ile mikanda wanatangaza instagram
Acha tu[emoji17][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya tunasubiri huo mrejesho
[emoji23][emoji23] Mbona umerudi mnyonge tena?
Siwezi kuwa na furaha kwa hii hali niliyokuwa nayo[emoji23][emoji23] Mbona umerudi mnyonge tena?
Pole sana [emoji23]
Kama utani na masihara nilianza saa 5 humu [emoji4] saiz ni 10 kasoro
Haha mlinzi mkuuKama utani na masihara nilianza saa 5 humu [emoji4] saiz ni 10 kasoro
Kwahiyo umeacha kutafuta saiv hivyo vitunguu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Aah wapi saiz nishazima kila kitu ni simu tu ndio inafanya kazi hapa.