Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Vitunguu swaumu..naona Sasa vimeamua vifanye kazi[emoji4] Umeweka nn humo tumboni mbona unalalamika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitunguu swaumu..naona Sasa vimeamua vifanye kazi[emoji4] Umeweka nn humo tumboni mbona unalalamika?
Hivyo ulivyo inatosha..unene niachie Mimi[emoji3][emoji3]Kwahiyo hutaki ninenepe [emoji38][emoji38]
Dah [emoji23][emoji23][emoji23] ulisikia hotuba ya jana madiwani wanafanya vikao mbona kwahiyo hii shughuli itakuwa kama ya madiwani vile.Raisi kakataza mkusanyiko wa watu..na baby kasema hakuna chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vinasaidia nn huko tumboni usiku huu wote?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ewaaaahDah [emoji23][emoji23][emoji23] ulisikia hotuba ya jana madiwani wanafanya vikao mbona kwahiyo hii shughuli itakuwa kama ya madiwani vile.
Nimeweka mziki, nahisi huu utanileta usingiziHongera kama umepata usingizi.
Vinanivuruga tu..nahisi vinataka kutoka kwa njia ya longcallVinasaidia nn huko tumboni usiku huu wote?
Hii jamani sasa shela itaakaje 😀
Mbaya zaidi muda haukusubiri sasa unakwenda tu saa 10 inakuita kabisa.Nimeweka mziki, nahisi huu utanileta usingizi
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] angalia tu kisiongezeke kitambiHii jamani sasa shela itaakaje [emoji3]
Natakiwa niongezeke kidogo
Macho yashakuwa mazito leta maneno mazuri nipate usingiziNyie mlale jamani
Na kimeshaanza kwa mbali
[emoji23][emoji23][emoji23] Usimsikilize huyo mjinga kashala teyari anakoroma huko kama baba mwenye nyumba.simiss alisema we kichaa una dawa[emoji38][emoji38] sitaki kuamini kama 9 na nusu hii hapa
Amarula - Roberto 🎼
[emoji3][emoji3][emoji3] nalisikitikia shela jamaniNa kimeshaanza kwa mbali
Utapiamlo tu [emoji3]
Naona unafurahia ss kutokula si roho mbaya hii I'd ya mtu hii [emoji23]