Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Ila siipendi hii hali ya kukesha..Basi tu.[emoji23] Ilasio mbaya kesho ni weekend
Jana nililala Kama katoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila siipendi hii hali ya kukesha..Basi tu.[emoji23] Ilasio mbaya kesho ni weekend
Aah mm nipo mkipotea nabandika zangu movie tu.Sawa mkuu,ngoja nikaunge juhudi za usingizi
[emoji23] 9 Kasoro hiiNaelekea
Nimelala matano, bado nadaiwa matatu na limoja la nyongezaKiafya ni masaa 8 unatakiwa kulala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta mbinu sasa ya kulala mapema unazani hili tatizo litaishaje?Ila siipendi hii hali ya kukesha..Basi tu.
Jana nililala Kama katoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalala hata saa 10 uamke saa 2 asubuhi utakuwa umelipa deni lako.Nimelala matano, bado nadaiwa matatu na limoja la nyongeza
Sawa mkuuAah mm nipo mkipotea nabandika zangu movie tu.
Goodnight dude.
Nikilala mapema matokeo yake si ndiyo Kama haya kustuka usiku wa manane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta mbinu sasa ya kulala mapema unazani hili tatizo litaishaje?
Na iwe hivyo 😀Utalala hata saa 10 uamke saa 2 asubuhi utakuwa umelipa deni lako.
Dah inamaana hapo ulale kuanzia saa 5 ili usishtuke mapema?Nikilala mapema matokeo yake si ndiyo Kama haya kustuka usiku wa manane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unawasiwasi kama hutolala tena hv?Na iwe hivyo [emoji3]
Unataka kunioa?!!!
Sina hata lepe la usingizi...na hapa nilipo nimekaa kabisa kitandaniMbona unawasiwasi kama hutolala tena hv?
[emoji23][emoji23] inaonesha hii sio kawaida kwako kabisa?Sina hata lepe la usingizi...na hapa nilipo nimekaa kabisa kitandani
Doh! Natamani ingekuwa rahisi ivyoDah inamaana hapo ulale kuanzia saa 5 ili usishtuke mapema?