ww tena maana kwenye tukio langu ulikuwa unahusika kabisa kwahiyo lazima nianze kupost kwako kama kuna sehemu utahariri kisha tutaleta kwa wananchi.Bora uniachapishie mm tu
Mm ni chronicle kabisa huwa sipati hivyo vitu kabisa.Nyie mkichelewa kulala hivi hampati ile "sleeping paralysis" hata kwa Mara moja?
Uoga ni result ya spleeping paralysisNyie mkichelewa kulala hivi hampati ile "sleeping paralysis" hata kwa Mara moja?
😀😀 pole, jifanye km huoni notificationKuna kichaa akiwepo kama ana dawa Super Villain




ww tena maana kwenye tukio langu ulikuwa unahusika kabisa kwahiyo lazima nianze kupost kwako kama kuna sehemu utahariri kisha tutaleta kwa wananchi.



HongeraMm ni chronicle kabisa huwa sipati hivyo vitu kabisa.
Rudi ulale
Naona ndio umeshtuka sasa?
Unamaanisha uoga?Uonga ni result ya spleeping paralysis
Yan niwe na mwenzangu kitandani afu Niko natafuta nini sahii JF 😀😀ha ha ha ili uziepuke inabidi kumkumbatia mwenzako ukiwa umelala
ha ha ha unawezakuwa unaipumzisha kwanzaYan niwe na mwenzangu kitandani afu Niko natafuta nini sahii JF 😀😀