Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Anajua mwenye huyu mzeeSs sijamuelewa simiss kinamchanganya chakula au mahaba
Anajua mwenye huyu mzeeSs sijamuelewa simiss kinamchanganya chakula au mahaba
Mm sijasema napika jiko lenyewe mtaa mzima hakunawe ndio upike makande [emoji23][emoji23] wapange hao wengine lakini sio mm.
HahahaAnajua mwenye huyu mzee
Unapenda menyu kupitiliza.Kwamba mimi sina nyama kama skeleton mzee [emoji4]
Mtaani tunakula kwa mwenyekitiwe ndio upike makande [emoji23][emoji23] wapange hao wengine lakini sio mm.
AiseeThe second basic law of human stupidity states that"The probability that a certain person be stupid is independent of any other characteristic of that person."
Anamaanisha kwamba, uwezekano wa mtu kuwa mpumbavu haitegemeani na sifa nyingine za mtu huyo,kwa maana kwamba,mtu anaweza kuwa kiongozi, msomi, mwanaume,au mwanamke,mkubwa au mzee,ana degree au ana Phd, lakini bado anaweza kuwa stupidy
Mwandishi anahitimisha kwa kusema kwamba mtu mpumbavu amezaliwa hivyo hivyo mpumbavu, ndivyo alivyoumbwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] unawajua watu skinny... i am skinny[emoji38][emoji38][emoji38]mwanangu nikuone nihakikishe je unamwili wakiweka mfuko wa shati au suruali
Mambo mazuri yanapendezesha dunia,nimezitamani kweliUtafanya tuote barbeque
[emoji91][emoji91][emoji91] Naona Moshi unatokea kwenye simu yangu au ni battery inawaka!Lindo na vitu vya namna hii vinasaidia sana....
View attachment 1401407
[emoji38][emoji38]upepo unakuzoa unaenda kukutupa zambia sio[emoji23][emoji23][emoji23] unawajua watu skinny... i am skinny
Ahh wapi ..mimi nshakuambia msosi naoupenda ni wa kwenye minuso tu ila mingine kawaidaUnapenda menyu kupitiliza.
Nyama si kitu cha kuchukulia poa ujueMambo mazuri yanapendezesha dunia,nimezitamani kweli
[emoji23][emoji23] toka lini mmeanza mumuite na simissMtaani tunakula kwa mwenyekiti
kwa niniNayama si kitu cha kuchukulia poa ujue
[emoji23] ahhh wapi.. nko tough na sitaki extra flesh[emoji38][emoji38]upeoo unakuzoa unaenda kukutupa zambia sio
Oooh sawa[emoji38] sisi tubakaribia uajuza ss hv
Kitu hakichoshi, hakikinaishi yanikwa nini