Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,732
lalia tumbo tu...usingizi utakuja na ndoto za kutisha2:00
Usiku wa manane. Mwenye usingizi kidogo anipunguzie
lalia tumbo tu...usingizi utakuja na ndoto za kutisha2:00
Usiku wa manane. Mwenye usingizi kidogo anipunguzie
[emoji38][emoji38][emoji38]mwache auze ww uliuza zetu usisahauMzee unauza siri za kambi sasa [emoji16]
Ewaaaaaaa iwe lainiiii kama imetiwa papai au dinamotoha ha ha weka limao,pilipili,chumvi.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo nimekupata nina options mbili nipate payback yangu au nikaushe!Mzee unauza siri za kambi sasa [emoji16]
ha ha ha agiza hapo ulipoEwaaaaaaa iwe lainiiii kama imetiwa papai au dinamoto
[emoji4][emoji4] huu wangu mzito sana..unaeza chelewa kuamkaTugawane huo huo
😀😀 nimeshtuka nimekuta giza ilo, hapa naogopaje aseeBora hata ww umelala saiz ndio umeshtuka [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] Nashukuru kumbe unakumbuka na ww, zamu ya nani leo...........[emoji38][emoji38][emoji38]mwache auze ww uliuza zetu usisahau
[emoji38]unataka niagize popo au wachawiha ha ha agiza hapo ulipo
Ni jumamosi haina madhara[emoji4][emoji4] huu wangu mzito sana..unaeza chelewa kuamka
Alikuwepo hapo samaki samaki simissHawezi kuwepo hii mitaa[emoji28]
Mnajua nipo uswazini ila ya kishua inavutia bhanaa.. kwanza night flani na akina goddess wapo kwenye heels karee.muziki ukipigwa unaingia hadi kwenye mfupa [emoji4][emoji4]Huyu anataka minuso yakishua
Kwa hiyo ndo bifu[emoji38][emoji38][emoji38]mwache auze ww uliuza zetu usisahau
Naona kila dalili za kutoboa, umeme umekatika nn hiko kiza?[emoji3][emoji3] nimeshtuka nimekuta giza ilo, hapa naogopaje asee
Kwahiyo we hujalala kabisa? Unataka kutoboa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nasema hv hizo heeels ugonjwa wa taifaMnajua nipo uswazini ila ya kishua inavutia bhanaa.. kwanza night flani na akina goddess wapo kwenye heels karee.muziki ukipigwa unaingia hadi kwenye mfupa [emoji4][emoji4]
Una bahti ndo natoka saa hii..ningekesha na weweHawezi kuwepo hii mitaa[emoji28]
Ubaya ubaya tuKwa hiyo ndo bifu