simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Ila makande hata mimi siyakubali hata yaungwe nazi ..huwa nakula bhasi tuNdio ila sijayala nna miaka mi2
Ila makande hata mimi siyakubali hata yaungwe nazi ..huwa nakula bhasi tuNdio ila sijayala nna miaka mi2
[emoji38] sisi tubakaribia uajuza ss hvNilidhani upo kwenye rika la 20's kumbe mzee mwenzangu 50's,hapo kande unazijua tu
No sio hivyo si unajua kuyapika niprocess[emoji38]Wakishua utawajua tu [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] Tena we ndio usiongee kabisa umenizidi.[emoji23][emoji23] ila Super Villain anapenda menyu sana asee na cha ajabu sio kibonge.mwili hauna shukrani yaani
Mlikuwa sio poa ila cool tu[emoji38][emoji38][emoji38] jama alochanganyikiwa alivyosikia banana n meat
Tunakula tusife[emoji38][emoji38][emoji38]Ila makande hata mimi siyakubali hata yaungwe nazi ..huwa nakula bhasi tu
[emoji38][emoji38][emoji38]ukaona mauzauzaMlikuwa sio poa ila cool tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anakuwa anavurugikiwa sana yaani.[emoji38][emoji38][emoji38] jama alochanganyikiwa alivyosikia banana n meat
Mapicha picha[emoji38][emoji38][emoji38]ukaona mauzauza
Kwamba mimi sina nyama kama skeleton mzee [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] Tena we ndio usiongee kabisa umenizidi.
[emoji4][emoji4] bdo kama hv jirani tunashirikiana
Dah acha nikalale huu utani wa ngumi mnaleta ujue [emoji4] [emoji22][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mwili naukunja nautia kwenywe mfuko
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mapicha picha
[emoji38][emoji38][emoji38]mwanangu nikuone nihakikishe je unamwili wakiweka mfuko wa shati au surualiKwamba mimi sina nyama kama skeleton mzee [emoji4]
we ndio upike makande [emoji23][emoji23] wapange hao wengine lakini sio mm.No sio hivyo si unajua kuyapika niprocess[emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah acha nikalale huu utani wa ngumi mnaleta ujue [emoji4] [emoji22]
Utafanya tuote barbequeLindo na vitu vya namna hii vinasaidia sana....
View attachment 1401407