Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,497
Ww si umekua kiazimm mwenyewe nishakuwa mvunja sheria siku hizi.
Unanitaka maneno usiku wote huu [emoji35]Ww si umekua kiazi
Kwema niaje babu?
huddah from +254
[emoji4] Umemjuaje mzee kuwa ni yy?huddah from +254
kwa sababu nampenda sana[emoji4] Umemjuaje mzee kuwa ni yy?
Kweli mzee wangu maana mm nimeshindwa kabisa kumjua mpaka ningemuona sura lakini ww umeona mgongo tu umemaliza kila kitu [emoji91]kwa sababu nampenda sana
Fresh dude.
ka potable flan hv
Huku bongo usiku,,kwani wewe upo wapi?
Kwa sababu ya mwandiko wako
Niaje mzee?Naona mnalisongesha viongozi
kwa huyo mtoto hta ningeona upaja tuh ningemjua 😂Kweli mzee wangu maana mm nimeshindwa kabisa kumjua mpaka ningemuona sura lakini ww umeona mgongo tu umemaliza kila kitu [emoji91]