JamiiForums Usiku wa manane
Usiku mwema wanalindo,Mungu aendelee kutulinda na hili janga,tuache ubishi wa kunawa mikono........

Super Villain kesho naamsha mapema ngoja nilale

FB_IMG_1584562513048.jpg
 
Usiku mwema wanalindo,Mungu aendelee kutulinda na hili janga,tuache ubishi wa kunawa mikono........

Super Villain kesho naamsha mapema ngoja nilale

View attachment 1394368
kila nikiitazama hii picha huwa nawaza tofauti na watu wanavyo waza huwa sichukulii kama huyu mwana alikuwa analeta utani lakini ni kwamba hakuwa na hela tu ya kununua mask na kuweza kujikinga aliona hii ndio solution iliobaki na ni rahisi kwauwezo wake.

Na kwako pia mzee.
 
Back
Top Bottom