Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Siku hizi kazi tunafanyia kihome home hivyo nina muda wa kupiga nap then naendelea kuchapa kazi.Mzee wa kiepe umetepeta leo zamu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kazi tunafanyia kihome home hivyo nina muda wa kupiga nap then naendelea kuchapa kazi.Mzee wa kiepe umetepeta leo zamu yako.
Af hii issue ntampandia mwenyewe pm maana naona vyeo vinapanda.. anipe siri ya mafanikio![]()


Dah hili battle mbio zake mtazikumbuka nyie tulieni tu.Sikupatii picha na hizo suti zako jinsi unavyopiga fix. Watu wanakuamini lakini kumbe miyeyusho sana we jamaa.Dah nimecheka kinoma.
Achana na huyo bahari mzinguaji simiss habari zake zote kuhusu mm zipuuze ni miyeyusho tu.
Unakana cheo chako mzee. Au hutaki popularity?Katibu muenezi kwenye ubora wako nakuona.
Huyu fala alikuwa anaelekea wapi atakuwa anaelekea Morocco huyuMuhimu sana hiiView attachment 1394355



Kwasasa ni ngumu,mpaka miezi kadhaa ijayo,assignment niliyonayo muda huu nikupumzika tu na hapa na force tuKaribu tuhesabu masaa hapa.
Register member huyu. Maana upo vizuri sana kutoa maelezo ya ushawishi PM kuliko hapaDah hili battle mbio zake mtazikumbuka nyie tulieni tu.
Ungejua kuwa natembelea corona huko barabarani watu wakiniona wananipisha njia tu kwenye foleni.
Namuamini sana mchizi simiss. Hana fixAchana na huyo bahari mzinguaji simiss habari zake zote kuhusu mm zipuuze ni miyeyusho tu.
Piga kazi babu ukija uje uchukue plot yako mbezi au Kigamboni huku.Siku hizi kazi tunafanyia kihome home hivyo nina muda wa kupiga nap then naendelea kuchapa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂nimeikuta tu sehemu,mkuu nipo kijijini ukisema morroco nikadhani kule kwa waarabu.....huko dasalama nakusikia kupitia media tuHuyu fala alikuwa anaelekea wapi atakuwa anaelekea Morocco huyu![]()
Ratiba imebana malengo ya mwaka na huu muda unavyokwenda ndio mtu unazidi vurugikiwa tu.Kwasasa ni ngumu,mpaka miezi kadhaa ijayo,assignment niliyonayo muda huu nikupumzika tu na hapa na force tu
Usijali lazima a join inRegister member huyu. Maana upo vizuri sana kutoa maelezo ya ushawishi PM kuliko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app


Unafeli sana kumuamini huyo.Umeona eehRatiba imebana malengo ya mwaka na huu muda unavyokwenda ndio mtu unazidi vurugikiwa tu.
Toka Feb nilishaona hii kitu muda unakimbia sana na mambo haya sogei inabidi upush tu kivyovyote vile mpaka iwe ndio kilichobaki.Umeona eeh
Uko poa?