Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
unazani nimekunywa nn zaidi tequila au?
unazani nimekunywa nn zaidi tequila au?
Amini brother... jasho halitoki bureNdiyo mkuu,Mungu mwema anaonyesha njia hata pasipo njia
Bila shaka kabisa tunafuata maelezo.Ledizi endi jentromeni bila shaka mu wazima mkiendelea kufuata abc za Ummy Mwalimu
Ndio zake huyu. We msome then utamwelewaSanaa.. af mbona mnazungushana sana au kuna madini hataki kutoa
Kesho juu sasa gorofani jiandae.ahh mzee ulivyoitaja nkamkumbuka mzee wa terminal pub
Ukichoka kupitiliza na ukaamua kujipa off ya siku upumzike huwa inatokea. Ila kama unataka zile za stress free ni ngumu kama umri ushasogea
Kumbe huwa anasherehekia birthday? Duhkijana ana ahadi nyingi..nasubiri besidei yake ifike nimfunulie files za ahadi hewa
Mzee wa kiepe umetepeta leo zamu yako.
Nikweli japo upepo hauko poa sanaAmini brother... jasho halitoki bure



Dah nimecheka kinoma.Muhimu sana hiiBila shaka kabisa tunafuata maelezo.
Karibu tuhesabu masaa hapa.Vp mkuu kwema,nimepotea kiasi hapa
Mtu mzito siku hizi anatembelea V8Af hii issue ntampandia mwenyewe pm maana naona vyeo vinapanda.. anipe siri ya mafanikio![]()
Those daysKama depo vile.
Aah utajua ujue wwkijana ana ahadi nyingi..nasubiri besidei yake ifike nimfunulie files za ahadi hewa



MAmbo bebi.
Katibu muenezi kwenye ubora wako nakuona.Ngoja katibu mwenezi Super Villain aje akupe maelezo ya kina
Sent using Jamii Forums mobile app