Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,067
- 124,587
Hata sijajua sasa eti
Mshaanza kuleta habari zenu sasa.Huyu chalii ni matata kinoma hasa siku kama ya leo
Ningekunywa Pepsi tu nikapata hype [emoji4][emoji23][emoji23] leo umepewa kitu gani mzee..hii mood sio ya bure
Ile mambo yaani nimesubiri hadi nimekata tamaa. Ila nakumind kinoma. Hadi utamu unexpire mi sijautia machoni [emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23] Basi sawa umesomeka
Nimeamua kulala kwenye coach leoDah hongera sana, si kazi ndogo hio
Leo nipo collabo na mwana lazima tukupe kubwa tu [emoji87][emoji87]Mshaanza kuleta habari zenu sasa.
Unazingua [emoji16]Ningekunywa Pepsi tu nikapata hype [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo nipo collabo na mwana lazima tukupe kubwa tu [emoji87][emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah we hiyo hofu sina kabisa maana maelezo yamenyoka ngoja mwamba aje atubu hapa ndio utaamini sasa.Mwaga hapa kama una uhakika na ulichokifanya. Mbona hujiamini chalii. Unaogopa ogopa utafikiri unaoga nje
Umeona eee. Halafu ni kama vile kapoa Corona[emoji2217][emoji2217][emoji2217][emoji40][emoji40][emoji23][emoji23] leo umepewa kitu gani mzee..hii mood sio ya bure
Atakuwa kapona Corona maana juzi na jana alikuwa mnyonge kinoma nomaKijana leo ana good mood..kuna kitu kapewa huyu leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aah ile mission Impossible mzee wangu maana ilikuwa siku 17 zimepita kuipata ilikuwa ni ngumu kidogo lakini ingekuwa siku 3 au 5 mapema sana ningekusogezea sema kausha mwana.Ile mambo yaani nimesubiri hadi nimekata tamaa. Ila nakumind kinoma. Hadi utamu unexpire mi sijautia machoni [emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Smisis jibu hili hapaHumu ni kupoteza muda tu maana wengine tumeshalowanisha kitanda hakilaliki.
[emoji23][emoji23] 2 in 1 unaijua ww?Leo nipo collabo na mwana lazima tukupe kubwa tu [emoji87][emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miyeyusho huyuUnazingua [emoji16]
Hapa nilipita mara moja..naangusha gari muda si mredu