JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakuu nimefanya tafiti nimegundua nikilala kwangua kuanzia SAA Tisa usingizi unakata ..nikiwa tofauti na kwangu usingizi nauchapa vizuri mpaka panakucha ..hakuna usingizi kukata...

Hii imekaaje?au ndio nimeizoesha akili ?napambanaje na hii hali ?suluhisho nimeona ni kuhama nyumba kodi ikiisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hamia madale.

[emoji23][emoji23][emoji23] Ulijua nishasombwa na mafuriko?
Nipo nimejaa tele kama pishi la mchele. (I miss you[emoji6])

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss zaidi kusema kweli, sema nimekuja kua livivu sana la kuingia humu ndani please nifanyie maombi
 
Back
Top Bottom