The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hehehehee mida ya popo hii mshalala au co, cc ndo kwnz tunaanza cku kihivi[emoji3][emoji3]
Unachungulia alafu unaenda wapi?Nimepita kuwachungulia tu one time kama mpo
Leo wakija nikuite kama kawaida yako au leo huachi maagizo kwa office?Nipo ..
Unachungulia alafu unaenda wapi?
Poa mzee katimue vumbi tu huko bakisha hela ya nauli lakini ndio muhimu kuliko hata ya supu.Naingia viwanja siunajua weekend hii
Mr villa.. Role model niajePoa mzee katimue vumbi tu huko bakisha hela ya nauli lakini ndio muhimu kuliko hata ya supu.
Leo mpaka monie.Wazima humu
[emoji23][emoji23][emoji23] usinipambe hivyo ujue sijawahi kuwa role model ujue maana mm nikisanga tupu.Mr villa.. Role model niaje
Hiyo ngoma inazimwa muda si mrefu bro..Leo mpaka monie.
[emoji23][emoji23] asa mzee nikiwa inspired nisikubali.. jiamini graphic designer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinipambe hivyo ujue sijawahi kuwa role model ujue maana mm nikisanga tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23] pesa zipo ujue haziishi unatakiwa upumzike kidogo eti.Hiyo ngoma inazimwa muda si mrefu bro..
Hahaaaaa sihangaikii pesa hommie.. majukumu tu plus nilijipanga kukesha ila tanesco wamefanya yao na kasimu charge haisomi[emoji23][emoji23][emoji23] pesa zipo ujue haziishi unatakiwa upumzike kidogo eti.
Dah hiyo coz naipenda sana lakini sijawahi somea Ila nilishafanyaga makubwa kidogo kupitia hiyo kitu wayback kidogo watu waliniona genius kumbe fala tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa mzee nikiwa inspired nisikubali.. jiamini graphic designer [emoji23][emoji23]