JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Poa kachukue hayo makonzi kesho. Najua utanikopesha siku ya mapenzi nikatimue vumbi uswahili kwetu.
Uswahilini hawana gharama.. Nunua chips za mafungu, miguu ya kuku na utumbo wake au kama utaona kitu classic ni kipaja au papatio.. unamshushia na vidaimond au burudani , au kama classic bhasi safari au nyagi [emoji4][emoji4][emoji4]

Gharama unaimudu
 
Ee ndio unanikopesha elfu 5000 tu hapo chips vumbi na firigi 2 juice yetu ya miwa kazi imeisha hapo.
 
.
4662e409b4541026cc5a22afe38d4e35.jpeg
 
Yule punda (Donkey) tu mm ndio dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ananifurahisha hatari Eddie Murphy ni chizi sana
Punda alikuwa chizi na kila time anaimba tuu [emoji23][emoji23]
 
Najua hapa mr villa anasubiria jibu ili akusanye data [emoji23][emoji23]

Inshort nimeongea kutokana na experience. Gal of your calibre mara nyingi wanapatikana hapo. It wasnt hard for me at all [emoji4][emoji4]
Dah sasa mm moro sindio nimekulia huko kona zote na chocho zote nazijua mm.
 
Back
Top Bottom